Nenda kwa yaliyomo

G8

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:50, 16 Septemba 2024 na InternetArchiveBot (majadiliano | michango) (Rescuing 1 sources and tagging 0 as dead.) #IABot (v2.0.9.5)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kundi la G8 lilikuwa likikusanya viongozi wa nchi 8 zilizoendelea sana kabla ya Russia kusimamishwa mwaka 2014 kwa sababu ya kuteka Krimea.[1][2][3] Tangu hapo, kundi limebaki na nchi za G7 pamoja na Umoja wa Ulaya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: