Ukiiwasha mipangilio hii, mipangilio iliyohifadhiwa kwenye wasifu wa Google Chrome kama vile alamisho, data ya kujaza kiotomatiki, manenosiri, n.k. pia vitaandikwa kwenye faili iliyohifadhiwa kwenye folda ya wasifu wa mtumiaji mwingine au kwenye eneo lililobainishwa na Msimamizi kupitia sera ya Google Chrome. Ukiiwasha sera hii, usawazishaji kwenye wingu utazimwa.
Ukiizima sera hii au usipoweka mipangilio, wasifu wa kawaida kwenye kifaa chako ndio utakaotumika pekee.
Sera ya SyncDisabled huzima usawazishaji wote wa data, hivyo kubatilisha RoamingProfileSupportEnabled.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | RoamingProfileSupportEnabled |
Value Type | REG_DWORD |
Enabled Value | 1 |
Disabled Value | 0 |