Husanidi ukubwa wa akiba ambao Google Chrome itatumia kwa ajili ya kuhifadhi faili zilizoakibishwa kwenye diski.
Ukiweka sera hii, Google Chrome itatumia ukubwa wa akiba uliotolewa bila kujali kama mtumiaji amebainisha alama ya '- disk-cache-size' au la. Thamani iliyobainishwa katika sera hii sio kikomo kisichoweza kurekebishwa bali ni pendekezo la mfumo wa Kuakibisha, thamani yoyote chini ya megabaiti chache ni ndogo mno na itazidishwa hadi kiwango cha chini kinachokubalika.
Iwapo thamani ya sera hii ni 0, ukubwa chaguo-msingi wa akaiba utatumika lakini mtumiaji hataweza kuibadilisha.
Iwapo sera hii haijawekwa ukubwa chaguo-msingi utatumika na mtumiaji ataweza kubatilisha na alama ya- ukubwa wa-diski ya-akiba.
Registry Hive | HKEY_LOCAL_MACHINE or HKEY_CURRENT_USER |
Registry Path | Software\Policies\Google\Chrome |
Value Name | MediaCacheSize |
Value Type | REG_DWORD |
Default Value | |
Min Value | 0 |
Max Value | 2000000000 |